Kisomali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Kisomali''' ni [[Lugha za KiafrikaKiafrica-KiasiaCushite|lugha ya KiafrikaKiafrica-KiasiaCushite]] nchini [[Somalia]], [[Ethiopia]], [[Kenya]] na [[Jibuti]] inayozungumzwa na [[Wasomali]]. Kupitia kwa Wasomali wahamiaji, Kisomali huzungumzwa katika nchi nyingi nyingine kama vile [[Kanada]], nchi mbalimbali za Ulaya na za Uarabuni. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisomali nchini Somalia imehesabiwa kuwa watu 8,340,000. Pia kuna wasemaji 4,610,000 nchini Ethiopia (2007), 2,386,222 nchini Kenya (2009), na 297,200 nchini Jibuti (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisomali iko katika kundi la Kikushi.
 
==Viungo vya nje==