Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 34:
 
== Mwezi kama kipimo cha wakati ==
[[Picha:Mond Phasen.jpg||framed|none|Awamu za mwezi kuanzia [[mwezi mwandamo]] (1) kupitia [[hilali]] (2), robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, [[mwezi mpevu]] (5) hadi mwezi mwandamo tena]]
Uso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. Mwezi mpevu unaonekana kama duara kamili la kung'aa lakini baada ya kuonekana hivi umbo lapungua kila siku hadi kutoonekana kabisa na hali hii huitwa mwezi mwandamo. Baadaye mwezi unaonekana tena kama [[hilali]] nyembamba na kuongezeka hadi kuwa duara tena. Muda wa mabadiliko yote kupita mara 1 ni siku 29 1/4.