Kisomali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 984915 lililoandikwa na 24.138.25.196 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kisomali''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Somalia]], [[Ethiopia]], [[Kenya]] na [[Jibuti]] inayozungumzwa na [[Wasomali]].

Kupitia kwa Wasomali [[wahamiaji]], Kisomali huzungumzwa katika nchi nyingi nyingine nyingi kama vile [[Kanada]], nchi mbalimbali za [[Ulaya]] na za [[Uarabuni]].

Mwaka wa [[2006]] [[idadi]] ya wasemaji wa Kisomali nchini Somalia imehesabiwailihesabiwa kuwa watu 8,340,000. Pia kuna wasemaji 4,610,000 nchini Ethiopia ([[2007]]), 2,386,222 nchini Kenya ([[2009]]), na 297,200 nchini Jibuti (2006).

Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] kwa ndani zaidi, Kisomali iko katika kundi la [[Kikushi]].
 
==Viungo vya nje==