Kisomali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Mwaka wa [[2006]] [[idadi]] ya wasemaji wa Kisomali nchini Somalia ilihesabiwa kuwa watu 8,340,000. Pia kuna wasemaji 4,610,000 nchini Ethiopia ([[2007]]), 2,386,222 nchini Kenya ([[2009]]), na 297,200 nchini Jibuti (2006).
 
Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] kwa ndani zaidi, Kisomali ikokiko katika kundi la [[lugha za Kikushi]].
 
==Viungo vya nje==