Mwezi mpevu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 35:
 
==Uangavu wa mwezi mpevu kubadilika==
Wakati wa kuwa mpevu mwezi hutoa nuru nyingi na kufikia uangavu mkuu unaowezekana. Kwa kulinganisha na magimba mengine angani jua linaangaza mara 400,000 kuliko mwezi, na mwezi unaangaza mara 250 kuliko nuru ya nyota zote angani wakati mwezi hauonekani. Kila baada ya miaka kadhaa wakati dunia iko katika [[periheli]] mwezi unafikia mahali pa njia yake ambako ni karibu sana duniani na hapa mwezi unaonekana kubwa na kiangafu kuliko kawaida. Hali hii ilianza kuitwa kwa Kiingereza "supermoon" au [[mwezi mpevu sana]].<ref>[https://sites.google.com/site/astronomyintanzania/previousmonthsnightskies/mwezi-mpevu-ajabu-jumatatu-novemba-14 Mwezi mpevu ajabu Jumatatu Novemba 14], tovuti ya "Astronomy in Tanzania" (Dr. Noorali T. Jiwaji), iliangaliwa 13 Novemba 2016</ref>
 
Uanganvu wa mwezi mpevu unategemea na umbali na dunia. Njia ya mwezi unapozunguka dunia si umbo la duara lakini la duaradufu ambako umbali wa mahali penye mzingo wa mwezi na dunia kama kitovu chake unabadilika. Mahali pa karibu zaidi pana umbali wa kilomita 362,600, mahali pa mbali kilomita 405,400. Hivyo mwezi mpevu unaotokea wakati mwezi ni karibu zaidi na dunia unaonekana kiangavu zaidi kuliko mwezi mpevu unatokea wakati mwezi ni mbali zaidi. Kila baada ya miaka kadhaa mwezi unafikia mahali pa njia yake ambako ni karibu sana duniani na hapa mwezi unaonekana kubwa na kiangavu kuliko kawaida. Hali hii ilianza kuitwa kwa Kiingereza "supermoon" au [[mwezi mpevu sana]].<ref>[https://sites.google.com/site/astronomyintanzania/previousmonthsnightskies/mwezi-mpevu-ajabu-jumatatu-novemba-14 Mwezi mpevu ajabu Jumatatu Novemba 14], tovuti ya "Astronomy in Tanzania" (Dr. Noorali T. Jiwaji), iliangaliwa 13 Novemba 2016</ref>
Kinyume chake uangavu wa mwezi mpevu unapungua katika [[afeli]] ya dunia na wakati uko mbali zaidi na dunia.
 
==Marejeo==