Koho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q25332 (translate me)
Sahihisho
Mstari 15:
''[[Pandion haliaetus|P. haliaetus]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
}}
'''Koho''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kiasi wa [[jenasi]] ''[[Pandion]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Pandionidae]]. Zamani [[spishi]] moja tu ilifahamiwa, lakini bingwa kadhaa wamekupa [[nususpishi]] ya [[Australasia]] cheo cha spishi sasa<ref>Wink, M., Sauer-Gürth, H. and Witt, H-H. (2004) Phylogenetic differentiation of the Osprey ''Pandion haliaetus'' inferred from nucleotide sequences of the mitochondrial cytochrome b gene. Pp. 511-516 in R.D. Chancellor and B-U. Meyburg (eds.) ''Raptors worldwide.'' World Working Group on Birds of Prey, Berlin, and MME/BirdLife Hungary, Budapest.</ref> na IOC (Muungano wa Kimataifa wa Wataalamu wa Ndege) unaiafiki. WalakiniLakini bingwawataalamu wengine hawakubali.
 
Mwili wa koho ana sm 50-66 na upana wa mabawa ni sm 127-180. Mgongo wake una rangi ya kahawa na kidari na tumbo ni nyeupe. Mara nyingi kidari kina michirizi kahawia. Kichwa ni cheupe chenye kinyago. Vidole vyote vina urefu sawa na vina kucha za mviringo bila mfuo kinyume na [[kipanga|vipanga]] na jamaa. Kidole cha nje kinaweza kugeuzwa kuelekea nyuma, kiasi kwamba koho anaweza kushika mawindo kwa vidole viwile mbele na viwili nyuma. Hii inafaa hasa akikamata [[samaki]] wenye kuteleza. Koho hula samaki takriban pekee, lakini pengine hukamata [[mgugunaji|wagugunaji]], [[amfibia]], [[mtambaazi|watambaazi]] na ndege wengine. Hutengeneza tago lao kwa vijiti juu ya [[mti]], mhimili ya huduma za umma au [[mwamba]]. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4.