Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 35:
== Mwezi kama kipimo cha wakati ==
[[Picha:Mond Phasen.jpg||framed|none|Awamu za mwezi kuanzia [[mwezi mwandamo]] (1) kupitia [[hilali]] (2), robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, [[mwezi mpevu]] (5) hadi mwezi mwandamo tena]]
Uso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. [[Mwezi mpevu]] unaonekana kama duara kamili la kung'aa lakini baada ya kuonekana hivi umbo lapungua kila siku hadi kutoonekana kabisa na hali hii huitwa [[mwezi mwandamo]]. Baadaye mwezi unaonekana tena kama [[hilali]] nyembamba na kuongezeka hadi kuwa duara tena. Muda wa mabadiliko yote kupita mara 1 ni siku 29 1/4.
 
Muda wa mabadiliko kati ya mwezi mwandamo hadi kupotea na kuwa mwezi mwandamo tena ni kati ya siku 28 - 29. Kipindi hiki kinakumbukwa kirahisi, kinatazamiwa na watu wote wakati uleule kwa hiyo pamoja na kipindi cha siku kilikuwa kati ya vipimo vya kwanza vya wakati kwa [[binadamu]].