Karate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Karate WC Tampere 2006-2.jpg|200px|thumbnail|Mashindano ya Karate]]
 
'''Karate''' (pia '''kareti''', [[jap.]] 空手) ni aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini [[Japan]].<ref name="nussbaum482">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [http://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA482#v=onepage&q&f=false "''Karate''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 482.</ref> Ilianzishwa kwenye kisiwa cha Okinawa ikafika Japani penyewe kwenye chanzo cha karne ya 20 na kusambaa duniani baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].<ref>http://web.archive.org/web/20090302085743/http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html</ref>
 
Karate inatumia pande zote za mwili kama silaha za mapigano kama vile [[mkono]], [[ngumi]], [[kisugudi]] au [[mguu]].