Michezo ya mapigano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:2012 U.S. Military Duals Tournament 120114-F-XH297-062.jpg|350px|thumb|shindanoShindano la mwereka]]
'''Michezo ya mapigano''' ni jumla la [[michezo]] ambako kwa kawaida watu wawili wanapigana kufuatana na kanuni za mchezo.
 
Mifano ni [[mchezo wa ngumi]], [[mwereka]], [[judo]] au [[karate]]. Michezo mingi ya mashindano yatumia mikono, miguu au hata mwili kwa jumla. Silaha zinatumiwa katika aina kadhaa za michezo kama [[mchezo wa vitara]] ambako kanuni zinahakikisha usalama wa washindani. Hivyo hakuna matumizi ya [[silaha za moto]] katika michezo ya mapigano.