Risasi (metali) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 21:
'''Risasi''' (jina la kisayansi: '''plumbi''') ni [[elementi]]. [[Namba atomia]] yake ni '''82''' kwenye [[mfumo radidia]] na [[uzani atomia]] ni 118.710. Jina ni neno la kilatini stannum kwa metali hii.
 
==Tabia==
Ni [[metali]] nzito na laini yenye rangi ya buluu-kijivu. Huyeyuka mapema kwenye kiwango cha halijoto cha 327 °C.
Ni [[metali]] nzito na laini yenye rangi ya buluu-kijivu. Huyeyuka mapema kwenye kiwango cha halijoto cha 327 °C. Ni babaikaji kirahisi na kwa sababu hii ilikuwa kati ya metali za kwanza zilizotumiwa na binadamu katika historia. Ikiingia katika mwili wa binadamu ni sumu. Haimenyuki kirahisi.
 
Kama metali nzito ina pia [[densiti]] kubwa.
 
==Matumizi==
Sehemu kubwa ya risasi hutumiwa kwa ajili ya [[beteri]] za magari. Mengine hutumiwa kwa ajili ya [[aloi]] mbalimbali.
 
===Ujenzi===
Risasi huyeyushwa haraka na hivyo kuna mbinu ya kuitumia kwa kazi ya kushika mabati ya kufunika nyumba. Matumizi mengine ni katika vyoo vya madirisha ambako vipande vya kioo cha rangi huunganishwa kuwa dirisha inayoonyesha picha jinsi. Hapa vipande vya kioo hushikwa kwa risasi.
 
Zamani risasi ilitumiwa pia kwa mabomba ya maji lakini hii imeachwa kutokana na tatizo la metali hii kuwa sumu. Kazi ya fundibomba kwa Kiingereza hadi leo huitwa "plumber" kutokana na "plumb" ambayo ni jina la [[Kilatini]] la risasi.
 
===Risasi katika silaha===
Kihistoria risasi ilikuwa muhimu tangu kupatikana kwa silaha kama [[ramia]] au kiasi cha bunduki na bastola. Ramia zilitengenezwa kwa muda mrefu kwa kutumia metali ya risasi pekee. Leo hii risasi peke yake ni laini mno kwa teknoljia mpya ya silaha hizi zrnye [[kanieneo]] (shindikizo) kubwa. Bado risasi hutumiwa kwa sababu ya uzito wake lakini siku hizi hufunikwa na koti ya aloi ya [[shaba]] inayozuia kubadilishwa kwa umbo lake wakati wa kurushwa katika silaha.
 
===Risasi kama kinga ya mnururisho===
Densiti kubwa ya risasi ni kinga nzuri dhidi ya [[mnururisho]]. Hivyo kuna mavazi ya kinga yanayovaliwa na waganaga wanaotumia [[eksirei]] mara kwa mara. Hata wagonjwa wanaochunguliwa hupewa mifuniko yenye risasi kwa kinga ya ogani za uzzazi dhidi ya mnururisho wa eksirei.
 
{{stub}}