Mashoga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+wahusika
+sawazisho dogo
Mstari 5:
| Maelezo =
| Albamu =
| Umerekodiwa = 1989-1990
| Umetolewa = 19901989-19911990
| Lugha = [[Kiswahili]]
| Urefu = 6:52
Mstari 20:
| Misc =
}}
'''Mashoga''' ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la [[Marquis Original]] katika miaka ya themanini mwishoni na tisini mwanzoni. Moja kati ya nyimbo zilizotamba sana katika miaka hiyo.
Mashairi yake anazungumzia mashoga na fitna za ndoa. Analalamika wanamchunguza yeye wakati yeye hawachunguzi. Wanajifanya kwake wazuri huku wanamteta. Kila apitapo wanamtazama kavaa nini, anaomba wamuache yeye ni wake wametoka mbali.
Humu walitumia sana mtindo wa "Sendema" mtindo maarufu sana kwa bendi hii. Kama ilivyo kawaida wa [[muziki wa dansi]], sehemu kubwa inapiga vyombo tupu kama tumbuizo kwa wasikilizaji. Midomo ya bata ([[tarumbeta]]) zimepigwa vilivyo katika wimbo huu - kwa umahiri wa hali ya juu.
==Wahusika==
*Mpiga Solo - [[Dekula Kahanga]]
*Mpiga Solo la 2 - Steven Kaingilila
*Mpiga rythm - Mulenga Kalonji
*Mpiga besi - [[Banza Mchafu]]
*Mpiga Dramz - Mharami Seseme
*Mpiga Congas - Seif Said
*Mpiga Sax - Berry Kankonde na Mukuna Roy
*Mpiga Tarumbeta - Kaumba Kalemba
*Mtunzi wa wimbo - Ngoie Mubenga
*Waimbaji: [[Issa Nundu]], [[Parash Mukumbule]], [[Mutombo Audax]] na [[Tshimanga Assosa]].
==Viungo vya Nje==
*{{YouTube|f03YW_bnCK4|Mashoga}}
[[Jamii:Nyimbo za 19901989]]
[[Jamii:Nyimbo za 1991199]]
[[Jamii:Nyimbo za Marquis Original]]