Mashoga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+sawazisho dogo
No edit summary
Mstari 20:
| Misc =
}}
'''Mashoga''' ni [[jina]] la kutaja [[wimbo]] uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la [[Marquis Original]] katika [[miaka ya themanini1980]] mwishoni na tisini[[Miaka ya 1990|ya 1990]] mwanzoni. MojaNi [[moja]] kati ya nyimbo zilizotamba sana katika miaka hiyo.
Mashairi yake anazungumzia [[shoga|mashoga]] na fitnafitina za [[ndoa]]. Analalamika wanamchunguza yeye wakati yeye hawachunguzi. Wanajifanya kwake wazuri huku wanamteta. Kila apitapo wanamtazama kavaa nini, anaomba wamuache yeye ni wake wametoka mbali.
Humu walitumia sana mtindo wa "Sendema" mtindo maarufu sana kwa bendi hii. Kama ilivyo kawaida wa [[muziki wa dansi]], sehemu kubwa inapiga vyombo tupu kama tumbuizo kwa wasikilizaji. Midomo ya bata ([[tarumbeta]]) zimepigwa vilivyo katika wimbo huu - kwa umahiri wa hali ya juu.
 
Humu walitumia sana mtindo wa "Sendema" mtindo maarufu sana kwa bendi hii. Kama ilivyo kawaida wa [[muziki wa dansi]], sehemu kubwa inapiga vyombo tupu kama tumbuizo kwa wasikilizaji. Midomo ya [[bata]] ([[tarumbeta]]) zimepigwa vilivyo katika wimbo huu - kwa umahiri wa hali ya juu.
 
==Wahusika==
*Mpiga Solo - [[Dekula Kahanga]]
Line 34 ⟶ 37:
*Mtunzi wa wimbo - Ngoie Mubenga
*Waimbaji: [[Issa Nundu]], [[Parash Mukumbule]], [[Mutombo Audax]] na [[Tshimanga Assosa]].
 
==Viungo vya Nje==
*{{YouTube|f03YW_bnCK4|Mashoga}}
[[Jamii:Nyimbo za 1989]]
[[Jamii:Nyimbo za 1991990]]
[[Jamii:Nyimbo za Marquis Original]]