Kitenzi kikuu kisaidizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
*Habibu '''angali''' ''anasoma'' darasani
*Sisi '''tunataka''' ''kwenda'' '''kuogelea''' mtoni
}}
'''Kitenzi kikuu kisaidizi''' (alama yake ya [[isimu|kiisimu]] ni: '''TS''') ni [[kitenzi]] ambacho hukaa sambamba na [[kitenzi kikuu]] ili kukisaidia kitenzi kikuu kukamilisha taarifa. Kitenzi kikuu kisaidizi kikiwa peke yake hakiwezi kutoa taarifa kamili. Hivyo basi kinahitajini msaada/lazima kiambatane na kitenzi kingine (kikuu) ndipo taarifa yake ikamilike.
 
'''Kitenzi kikuu kisaidizi''' (alama yake ya [[isimu|kiisimu]] ni: '''TS''') ni kitenzi ambacho hukaa sambamba na kitenzi kikuu ili kukisaidia kitenzi kikuu kukamilisha taarifa. Kitenzi kikuu kisaidizi kikiwa peke yake hakiwezi kutoa taarifa kamili. Hivyo basi kinahitaji msaada/lazima kiambatane na kitenzi kingine (kikuu) ndipo taarifa yake ikamilike.
==Uchambuzi==
*Babu yangu '''alikuwa''' ''anaumwa'' sana (''alikuwa'' ni kitenzi kisaidizi '''TS''' - na ''anaumwa'' ni kitenzi kikuu '''T''').
*Wezi '''walikuwa''' ''wanataka'' '''kuiba''' fedha zake (''walikuwa'' na ''wanataka'' vyote ni vitenzi visaidizi - isipokuwa '''kuiba''' ambapo hapa kimeainishika kama kitenzi kikuu). KikawaidaKwa kawaida kitenzi kikuu hukaa mwisho hata kama nyuma yake kutakuwa na wasaidizi kumi.
*Anna '''alikuwa''' ''anataka'' '''kwenda''' ''kununua'' matunda sokoni ('''alikuwa''', '''anataka''', na '''kwenda''' vyote ni vitenzi visaidizi isipokuwa '''kununua''' inabaki kuwa kitenzi kikuu
*Upepo '''ulikuwa''' ''umesha'' '''ezua''' mabati yote
Line 13 ⟶ 14:
 
'''Angalizo''': Kitenzi kikuu alama yake ni '''T''' kubwa na kitenzi kisaidizi alama yake ni '''TS'''.
 
===Dhima ya kitenzi kikuu kisaidizi===
===Dhima za kitenzi kikuu kisaidizi imegawanyika katika makundi makuu mawili - nayo ni:===
Dhima za kitenzi kikuu kisaidizi zimegawanyika katika makundi makuu mawili - nayo ni:
 
1) Kujulisha ''njeo'' (njeo = wakati, nyakati)
 
2) Kujulisha uyakinishi na ukanushi wa tendo/matendo<big>
 
<big>Sifa za Kitenzi kisaidizi</big>
 
- Hakikamilishi taarifa. Mfano, Baba '''''alikuwa'''''
Line 27 ⟶ 29:
 
- Hudokeza nyakati mbalimbali za kutendeka kwa tendo. Yaani, wakati uliopo, uliopita na ujao. Mfano, Alikuwa, Atakuwa, n.k
 
 
 
 
 
 
*
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]