Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 6:
==Maisha==
Mandela alizaliwa tarehe 18 Julai 1918 katika [[familia]] ya [[kabila]] la [[Waxhosa]] kwenye [[kijiji]] cha [[Mvezo]] karibu na [[Mthatha|Umtata]] iliyokuwa kwenye [[Jimbo la Rasi]].
Alipewa [[jina]] la Rolihlahla linalomaanisha "anayevuta [[tawi]] la [[mti]]" kwa maana ya "mwenye kuleta matata" katika [[lugha]] ya [[Kixhosa]]<ref>[http://africanhistory.about.com/od/mandelanelson/a/bio_mandela.htm Biography ya Mandela], tovuti ya africanhistory, iliangaliwa 16 Novemba 2016</ref>. Baadaye alijulikana kwa jina la [[ukoo]] wake "Madiba". Jina la Nelson alilipokea kutoka kwa [[mwalimu]] wake siku alipoanza kwenda [[shule]].
Line 32 ⟶ 33:
==Marejeo==
<
{{DEFAULTSORT:Mandela, Nelson}}
Line 41 ⟶ 42:
[[Jamii:Marais wa Afrika Kusini]]
[[Jamii:Viongozi wa Afrika]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
|