Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 31:
[[File:Young Mandela.jpg|thumb|right|upright|Photograph of Mandela, taken in Umtata in 1937]]
 
Hapa alianza mazoezi ya michezo na kupenda kazi ya bustani aliyoendelea kwa maisha yote. {{sfnFootnotes|Mandela|1994|pp=48–50}} Baada ya miaka miwili alipokea cheti ndogo ya elimu ya sekondari.{{sfn|Sampson|2011|p=17}}
 
Mwaka 1937 kwenye umri wa miaka 19 aliendelea kwenye chuo cha Wamethodisti huko [[Fort Beaufort{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=52|2a1=Smith|2y=2010|2pp=31–32|3a1=Meredith|3y=2010|3p=14|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=17–18}}. Hapo alikuwa mara ya kwanza rafiki na kijana nje ya kabila lake aliyekuwa Msotho akaathiriwa na mwalimu mpendwa Mxhosa aliyevunja mwiko kwa kumwoa mke kutoka kwa Wasotho {{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=53–54|2a1=Smith|2y=2010|2p=32|3a1=Meredith|3y=2010|3pp=14–15|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=18–21}} Mandela alitumia muda mwingi huko Healdtown kwa kufuata michezo ya kukimbia na [[bondia].{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=56|2a1=Smith|2y=2010|2p=32|3a1=Meredith|3y=2010|3p=15}}