Msimbo pau : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
masahihisho madogo
Mstari 1:
'''Msimbo pau''' ni ruwaza ya [[Jiometri|kijiometri]], kwa kawaida ni mistari iliyo wima, ambayo hutumiwa kukagua na kufuatilia [[mali]] au [[bidhaa]]. Ni njia ya kutaja namba inayoruhusu kusomewa kwa namba hizi kwa mashine.
 
Awali msimbo pau ulitumikaulitumia kuwakilishaufuatano [[data]]wa kwamistari kutofautishaau [[upana]]"pau" sambamba na nafasi iliyopo baina ya mistari sambamba,. naMfumo unawezahuu kujulikanasahili kamaunaitwa mstarikimstari (''linear'') au wa [[wanda]] moja (''one-dimensional'' / (1D).
 
Baadaye msimbo wa two-dimensionalwanda mbili (2D) ulianzishwa, kwa kutumia [[Mstatili|mistatili]], [[nukta]], pembe sita na ruwaza nyingine za kijiometri katika pande mbili, kawaida huitwa misimbo pau ingawa haitumii pau.
 
Awali Misimbo pau ilikaguliwa kwa vitambazo mwanga maalum vilivyoitwa "barcode readers". Baadaye [[programu]] za matumizi (applications software) zilipatikana katika vifaa ambavyo viliweza kusoma [[picha]], kama vile [[simumtelezo]] (smartphones) na [[kamera]].
 
Ingawa mwanzo msimbo pau ulitumika kufuatilia magari ya [[reli]], ulipata umaarufu zaidi wakati ulipokuja kutumika kwenye bidhaa zinazouzwa katika [[duka|maduka]] makubwa penye kifaa cha kusoma msimibo pau.
 
Zipo aina mbili za misimbo pau, '''msimbo wa bidhaa wa jumla''' ('''Universal Product Code - UPC''') na '''International Standard Book Number''' (ISBN), ambazo ni lazima kuombwa kupitia mashirika rasmi ya uhakikishaji wa bidhaa kabla ya kuuzwa.