Tofauti kati ya marekesbisho "Shahada ya Awali"

42 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Digrii ya bachelor''' ni stashahada inayotolewa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kuteg...')
 
'''Digrii ya bachelor''' ni [[stashahada]] inayotolewa kwa [[mwanafunzi]] wa [[chuo kikuu]] aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa chuo.
 
[[Neno]] "bachelor" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] kimsingi limantajalinataja mtu [[Ndoa|asiyeoa]] bado lakini mwenye [[umri]] wa kutosha asiyeoa bado.
 
Katika nchi zinazofuata mfumo wa [[Uingereza]] ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa [[Marekani]] ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha [[elimu ya sekondari]].
 
Nchi nyingine hazijuihazina digrii hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi [[sita]] tangu mwanzo.
 
Vyeo vinavyofuata ni [[digrii ya master]] na digrii ya [[dokta]].