Ufalme wa Mungu : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[File:Langenzenn Stadtkirche - Fenster Wilhelm II 3.jpg|thumb|180px|[[Malaika]] akipuliza [[tarumbeta ya mwisho]] kwa ajili ya [[Hukumu ya mwisho|hukumu]] kadiri ya [[1Kor]] 15:52, [[Langenzenn]], Ujerumani, [[karne ya 19]].]]
'''Ufalme wa Mungu''' (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika [[Injili ya Mathayo]]) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa [[Yesu Kristo]] katika [[Injili]] .<ref name=France101>''The Gospel of Matthew'' by R.T. France (21 Aug 2007) ISBN 080282501X pages 101-103</ref>
[[Neno]] "[[ufalme]]" (kwa Kigiriki βασιλεία, ''Basileia'') linapatikana mara 162 katika Agano Jipya, kawaida kwa maana ya ''Basileia tou Theou'' (βασιλεία τοῦ θεοῦ), Ufalme wa Mungu, au ''Basileia tōn Ouranōn'', (Βασιλεία τῶν Ουρανῶν), Ufalme wa Mbinguni.<ref>''Theology for the Community of God'' by Stanley J. Grenz (Jan 31, 2000) ISBN 0802847552 page 473</ref> <ref>Kingdom of God is translated to [[Latin]] as ''Regnum Dei'' and Kingdom of Heaven as ''Regnum caelorum''.<ref> See ''A Primer of Ecclesiastical Latin'' by John F. Collins (Aug 1985) ISBN 0813206677 page 176</ref>
 
Hata katika hilo [[Agano Jipya]] limeendeleza [[Agano la Kale]], ambapo [[Mungu]] anatangazwa kuwa [[mfalme]] wa [[ulimwengu]]<ref name=Wright>{{cite book |first1=R. T. |last1=France |authorlink1=R. T. France |chapter=Kingdom of God |chapterurl=https://books.google.com/books?id=I8UWJohMGUIC&pg=PA420 |pages=420–2 |editor1-first=Kevin J. |editor1-last=Vanhoozer |editor2-first=Craig G. |editor2-last=Bartholomew |editor3-first=Daniel J. |editor3-last=Treier |editor4-first=Nicholas Thomas |editor4-last=Wright |year=2005 |title=Dictionary for Theological Interpretation of the Bible |location=Grand Rapids |publisher=Baker Book House |isbn=978-0-8010-2694-2}}</ref><ref name=Image478>''Dictionary of Biblical Imagery'' by Leland Ryken, James C. Wilhoit and Tremper Longman III (Nov 11, 1998) ISBN 0830814515 pages 478-479</ref><ref name=Mays>''Psalms: Interpretation'' by James Mays 2011 ISBN 0664234399 pages 438-439</ref> akiwa na mwakilishi, [[Daudi]] na watawala wa [[ukoo]] wake, kwa namna ya pekee [[Masiya]], [[Mwana wa Daudi]] aliyetarajiwa.