Kiajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
herufi za ziada
Mstari 1:
'''Kiajemi''' au '''Farsi''' (فارسی) ni [[lugha ya taifa]] ya [[Uajemi]]. Ni kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]], ambazo tena ni kati ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Inaandikwa kwa herufi za [[Kiarabu]] ambamo herufi nne za ziadi zimeongezwa kwa kutaja sauti zizizoweza kuonyeshwa kwa Kiarabu asilia. Hizi herufi za ziada ni {{lang|fa|پ}} p, , {{lang|fa|چ}} tsh, {{lang|fa|ژ}} zh na {{lang|fa|گ}} ɡ.
 
Kiajemi ilikuwa na athira kubwa juu ya lugha mbalimbali hasa [[Kiarabu]] na [[Kituruki]].