Nukta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+picha
Mstari 1:
<sup>Kwa nukta kama [[kipimo]] cha [[wakati]] angalia [[sekunde]]</sup>
[[Picha:SunflowerModel.svg|thumb|Picha iliyochorwa kwa kutumia nukta tu. <br/><small>(Kama nukta inachorwa inaonekana kama duara ndogo)</small>]]
 
'''Nukta''' (kutoka [[Kiarabu]] نقطة, ''nuqta''; kwa [[Kiingereza]]: ''point'') katika [[elimu]] ya [[hisabati]] na [[jiografia]] ni [[kitu]] au [[mahali]] bila [[urefu]] wala [[upana]], yaani bila [[eneo]] lolote.