Andrea Dung-Lac : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Image:Saint Paul Catholic Church (Westerville, Ohio) - Saint Andrew Dung Lac.jpg|thumb|200px|Andrew Dũng-Lạc,<br>katika kioo cha rangi<br>St. Paul's R.C. C...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Saint Paul Catholic Church (Westerville, Ohio) - Saint Andrew Dung Lac.jpg|thumb|200px|Andrew Dũng-Lạc,<br> katika [[kioo cha rangi<br>]], St. Paul's R.C. Church, [[Westerville, Ohio]], [[Marekani]].]]
'''AndrewAndrea Dũng-Lạc''', kwa [[Kivietnam]] '''Anrê Trần An Dũng Lạc''', ([[1795]] – [[21 Desemba]] [[1839]]) alikuwa [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Vietnam]] hadi alipokatwa [[kichwa]] chini ya [[utawala]] wa [[Minh Mạng]].
 
Alitangazwa na [[Papa Leo XIII]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[24 Novemba]] [[1900]], halafu na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]] tarehe [[19 Juni]] [[1988]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kila tarehe [[24 Novemba]] pamoja na kundi la wenzake 116 linalojumlisha [[Wafiadini wa Vietnam]] wa [[karne ya 17]], [[Karne ya 18|18]] na [[karne ya 19|19]] ([[dhuluma]] zilidumu miaka [[1625]]–[[1886]]).
 
==Maisha==
Trần An Dũng alizaliwa katika [[familia]] ya [[wakulima]] [[fukara]] sana, kiasi kwamba ilimuuza akiwa [[mtoto wa kambo]] kwa [[katekista]] Mkatoliki.
 
Huyo alimlea vizuri na kumsomesha. Wakati wa [[Ubatizo|kubatizwa]] alichukua [[jina]] la Anrê (Andrea).
 
Alipata [[upadrisho]] tarehe [[15 Machi]] [[1823]] akafanywa [[paroko]].<ref>Michael Walsh, ed. "Butler's Lives of the Saints." HarperCollins Publishers: New York, 1991, p. 390.</ref>
Line 14 ⟶ 15:
Wakati wa [[dhuluma ya kidini]] alitumia jina la Lạc ili kuendelea na [[utume]] wake,<ref>Phát Huồn Phan Việt-Nam giáo-sử - 1962 - Volume 2 - Page 73 "Vẩn đề trường Dũng-Lạc đã làm cho đư-luận công-giáo Hà-thành sôi nồi. Trường Dũng-lạc là một trường tư-thục công-giáo ớ sát cạnh nhà thờ lớn đo cha chính Nguyễn-vỉn-Vinh làm hiệu-trướng. Ðầu niên- khóa, học sinh xin vào học rết ..."</ref> lakini hatimaye alikamatwa na kufungwa.
 
Mara kadhaa alikombolewa na waumini wake kwa [[pesa]] akakamatwa tena sehemu nyingine.
 
Hatimaye aliuawa pamoja na padri aliyemkaribisha, [[Petro Trương Văn Thi]],.
 
==Tazama pia==