Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Solar_planets.jpg|thumb|140px|Sayari za [[mfumo wa jua]] letu; [[ukubwa]] unaonyesha [[uwiano]] halisi kati ya sayari lakini [[umbali]] kati ya sayari hauonyeshwi.]]
'''Sayari''' (kwa [[Kiingereza]] ''planet'') ni [[gimba la angani|gimba kubwa la angani]] linalozunguka [[jua]] (au nyota nyingine) na kung'aa kutokana na [[nuru]] ya jua iliyoakisiwa, tofauti na [[nyota]] na jua zinazong'aa peke yake. Kwa [[macho]] inaonekana kama nyota, lakini baada ya kuitazama kwa muda wa [[mwaka]] inaonekana inabadilisha mahali pake angani, tofauti na nyota kwa jumla.
 
==Jina==