Eukaryota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Mfumo wa seli: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|cs}} (3) using AWB (10903)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Eukaryota diversity 2.jpg|thumb|250px|Vyote Eukaryota!]]
'''Eukaryota''' ni kundi kubwa la [[viumbehai]] ambavyo vina [[seli]] zenye [[kiini cha seli]] na [[utando wa seli]]. [[Mimea]], [[wanyama]] na [[fungi]] wote tunaoona huhesabiwa humo.
 
Zinahesabiwa kwa jumla kama [[domeni]] kati ya viumbehai na domeni nyingine ni [[bakteria]] na [[archaea]] ambavyo ni viumbe vidogo sana vinavyoonekana kwa [[hadubini]] tu.
 
Eukaryota walio wengi wana seli nyingi lakini hasa [[protisti]] na sehemu za fungi zina seli moja tu.
Mstari 8:
== Mfumo wa seli ==
[[Picha:Biological cell.svg|thumb|left|Seli ya mnyama]]
Seli za eukaryotieukaryota ni kubwa kuliko seli za bakteria na archaea. Ndani ya seli zao kuna [[oganeli]] ambazo ni kama [[viungo]] vya [[mwili]] lakini vina shughuli maalumu ndani ya seli.
 
Oganeli inayojulikana zaidi ni kiini cha seli inayotunza sehemu kubwa ya [[DNA]] yake.
 
Seli za eukaryota huwa pia na kitu kinachofanana na [[kiunzi cha mifupa]] kwenye mwili kinachojengwa kwa vimirija vya [[protini]] za pekee ambazo ni gumu kiasi kuliko [[ektoplasma]] inayojaza seli.
Kimsingi seli za eukaryota huwa na
* kiini cha seli,
* utando wa seli (ganda la nje pamoja na maganda ya ndani) na
* [[utegili]] (ektoplasma) unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] ([[mitokondria]]), .
 
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Uainishaji]]