Kiumbehai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:EscherichiaColi NIAID.jpg|thumb|150px|Bakteria ya Escherichia coli ni mfano wa viumbehai katika kundi la prokariotaprokaryota]]
[[Picha:Elephant-ear-sponge.jpg|thumb|150px|[[Sifongo]] ya baharini ni mfano wa viumbehai katika kundi la eukariotaeukaryota]]
 
'''Kiumbehai''' ni kitu kilicho hai kama vile [[binadamu]], [[mnyama]], [[mmea]] au [[bakteria]].
 
Line 8 ⟶ 7:
Hata kama [[sayansi]] haijajua kikamilifu uhai ni nini inatambua jumla ya tabia hizo kama [[dalili]] za uhai.
 
Kiumbehai kinaweza kuwa na [[seli]] moja (kama bakteria kadhaa) au kuwa na seli [[milioni|mamilioni]] kadhaa kama mwanadamu.
 
Viumbehai vyenye seli moja tu ni vidogo sana: havionekani kwa [[jicho]] bali kwa [[hadubini]] tu.
 
== Aina za viumbehai ==
[[Wataalamu]] wamegawa viumbehai katika vikundimakundi vitatumatatu kufuatana na muundo wao wa ndani:
 
* [[Bakteria]] na
* [[Archaea]] ni viumbehai wenye seli moja wasio na [[kiini cha seli]]; wote wanaitwa pia [[Prokaryota]]
* [[Eukaryota]] ni viumbehai wenye kiini cha seli. [[Mnyama|Wanyama]], [[mmea|mimea]] na [[fungi]] huhesabiwa hapahumo.
 
VikundiMakundi hivihayo nihuitwa [[domeni]] 3 za [[uainishaji wa kisayansi]].
 
[[Virusi]] ni kitu kati ya kiumbehaiviumbehai na kituvitu kisichovisivyo hai; [[wataalamu]] wengine husema ya kwamba hakistahilihavistahili kuitwa "kiumbehaiviumbehai" kwa sababu hakkiwezihaviwezi kuzaa pekee yake, haina umetaboli wake bali unategemea kuingia ndani ya seli na kutumia nafasi za seli kwa kuzaa kwake.
 
== Viungo vya nje ==
* [http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/science/chapter_1_organisms_and_their_environment.htm Links for Middle School students]
<!-- interwiki -->
 
{{mbegu-biolojia}}