Benki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 94 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q22687 (translate me)
Mstari 1:
[[Picha:TaiwanCooperativeBankChengnei Branch, Taiwan Cooperative Bank 2007-08-26.JPGjpg|thumbnail|right|290px|Taiwan Cooperative Benki katika [[Taipei]]]]
 
'''Benki''' ni taasisi ya kibiashara inayoshughulika biashara ya fedha. Shughuli zake za msingi ni pamoja na kukopa na kukopesha fedha. Kwenye ngazi hii benki inatunza pesa ya watu wengi. Kwa utunzaji huu benki haiachi pesa kukaa bure tu lakini inaitumia kwa biashara yake. Inaitumia kuikopesha kwa makampuni au watu wanaohitaji fedha. Wanaokopa pesa wanalipa riba ambayo ni bei ya benki kwa huduma ya kukopesha; kutokana na mapato haya benki inalipa pia riba ndogo zaidi kwa wale walipeleka pesa zao kwake. Tofauti kati ya viwango vya aini hizi mbili za riba ni faida na pato la benki. Jambo muhimu linaloangaliwa na benki wakati wa kukopesha pesa ni uwezo wa mkopaji kurudisha deni yake.