Tofauti kati ya marekesbisho "Kitenzi"

54 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
{{ExamplesSidebar|35%|
*''''Anacheza''' muziki
*'''Wanaenda''' kazini
*'''Unaimba''' wimbo wa taifa
*'''Ninasema''' Kifaransa
}}
'''Kitenzi''' ni istalihi[[istilahi]] ya [[sarufi]] kwa maneno yanaotajayanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika.
 
[[Lugha]] nyingi zinatumia vitenzi ingawa kuna pia lugha zisizoweka tofauti kati ya vitenzi na [[jina|majina]].
 
==Maumbo ya kitenzi==
Kwa [[Kiswahili]] kila kitenzi kina [[shina]] yakelake inayobebalinalobeba [[maana]] yake. Mfano: ku-fanya ambamo "fanya" ni shina; [[kiambishi awali]] "ku-" ni [[alama]] ya aina ya neno yaani kitenzi chenyewe.
 
Ndani ya shina kuna tofauti kati ya [[mzizi]] wa neno "fany" na [[kiambishi tamati]] ambacho ni [[silabi]] "a".
 
Mzizi wdawa kitenzi mwenyewewenyewe haubadiliki wakati wowote kitenzi kitaponyambuliwakinaponyambuliwa katika kauli yoyote iwayo.
 
Vitenzi kwa Kiswahili hupokea viambishi mbalimbali vinavyoeleza kwa undani zaidi maana ya matumizi ya neno. Viambishi awali ni silabi zilizopo mbele ya mzizi na viambishi tamati ni silabi zilivyopo baada ya mzizi wa kitenzi.
Viambishi awali vinaweza kutaja:
* nafsi ya mtenda - ni nani au nani anayetenda na hivi ni silabi '''ni''' /'''u''' / '''a''' upande wa umoja na '''tu''' / '''m''' / '''wa''' upande wa uwingi mtawalia katika hali yakinishi na "si"/ "hu"/"ha" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda- umoja na "hatu"/"ham"/"hawa" kuwa vikanushi vya viambishi vya nafsi za mtenda-wingi .
* njeo au wakati - kama tendo linatokea sasa au lilitokea wakati uliopita au litatokea wakati ujao ; mifano ni silabi za '''a''' pamoja na '''na''' kwa wakati wa kisasasasa, '''li''' kwa wakati uliopita na '''ta''' kwa wakati ujao katika hali yakinishi.
 
Viambishi tamanitamati vinaweza kupanushakupanua au kubadilisha maana ya kimsingimsingi ya mzizi wa neno. Mifano ni kimbi-a, kimbi-lia, kimbili-ana, kimbi-za, kimbi-zana, kimbi-liwa.
 
Kwa jumla kitenzi cha Kiswahili kinaweza kuwa na sehemu [[saba]], yaani shina na hadi sita viambishi [[sita]] mbele au nyuma ya shina la neno. Jedwali inayofuatalinalofuata inaonyeshalinaonyesha mifano kadhaa. Umbo fupi zaidi ya kitenzi ni [[amri]] kama "piga".
 
{| class="wikitable float-right"
*[[Kitenzi kikuu kisaidizi]] ('''TS''')
*[[Kitenzi kishirikishi]] ('''t''')
 
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]