Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Fasihi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[utanzu]] ([[tawi]]) wa [[sanaa]] ambao hutumia [[lugha]] ya mazungumzo au maandishi ili kufikisha (kuwasilisha) ujumbe kwa hadhira husika.
Vipengele vinavyounda fani ya fasihi ni kama ifuatavyo
Katika kazi yoyote ya fasihi ni lazima pawepo na ustadi wenye kuleta mvuto fulani kwa hadhira (wasikilizaji au wasomaji) husika. Ustadi (ufundi) huo unaovutia hadhira huitwa FANI, ambayo hujumuisha mambo kama vile:▼
==Fani==
**Muundo - mtitiriko/msuko/mpangilio wa matukio / visa▼
▲Katika kazi yoyote ya fasihi ni lazima pawepo na ustadi wenye kuleta mvuto fulani kwa hadhira (wasikilizaji au wasomaji) husika. Ustadi (ufundi) huo unaovutia hadhira huitwa
**Mtindo - ni mbinu inayotumiwa na fanani ili atofautiane na fanani mwingine▼
**Wahusika - ni watu au vitu vyenye uhai au la ambavyo hutumiwa na fanani katika kazi yake▼
**Mandhari - ni eneo ambalo fanani hulitumia kujenga matukio na au mtiriko katika kuumba kazi yake▼
**Matumizi ya lugha - lugha anayotumia fanani katika kujenga wasifu wa wahusika kihaiba kazi yake▼
▲
==Maudhui==
*Dhamira
*Ujumbe/Mafunzo
*Falsafa/
*Mtazamo
▲Vipengele vinavyounda fani ya fasihi ni kama ifuatavyo. [[Fani]] ni [[umbo]] la nje la [[kazi]] ya [[fasihi]]. Maudhui ni umbo la ndani la kazi ya fasihi.
▲*2/Mgogoro
==Sifa za fasihi==
*Fasihi ni utanzu wa sanaa
*Kazi ya fasihi ni kujaribu kusawiri vipengele vya maisha, mahusiano, na hisia za watu katika jamii husika.
*Fasihi ni maelezo ya
*Fasihi ni ufundi unaotumia lugha ili kulete mguso au hisia fulani za watu katika muktadha fulani.
|