Tofauti kati ya marekesbisho "John Fisher"

6 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
-[[]]
d (Bot: Migrating 23 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q317149 (translate me))
(-[[]])
Pamoja na [[Thomas More]], alimkataa mfalme [[Henry VIII]] aliyejitenga na Kanisa la [[Roma]]. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Kabla ya hapo [[Papa Paulo III]] alimteua kuwa [[kardinali]].
 
Mwaka 1935 alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni [[22 Juni]] katika Kanisa Katoliki, na [[ 6 Julai]] katika Kanisa [[Anglikana]].
 
==Maandishi yake==
3

edits