Tofauti kati ya marekesbisho "Mchezo wa ng'ombe"

200 bytes removed ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
No edit summary
 
[[Image:Bull attacks matador.jpg|thumb|250px|Torero akimkasirisha ng'ombe dume kwa kitambaa chekundu]]JYHVFJHBJKHI.H.NJH[[Image:Matador.JPG|250px|thumb|Matador akilenga kumwua ngombe kwa upanga wake]]
'''Mchezo wa Ng'ombe''' ni desturi inayojulikana hasa katika nchi za [[Hispania]] na [[Ureno]], pia katika maeneo ya jirani ya [[Ufaransa]] kusini na katika koloni za zamani za Hispania huko [[Amerika ya Kilatini]] kama [[Meksiko]]. Imekuwa pia mila ya pekee kwenye [[Kisiwa cha Pemba]], [[Tanzania]]. Kila mahali ni mashindano kati ya wanadamu na fahali wa ng'ombe lakini kuna taratibu tofautitofauti.
 
Katika mchezo wa Hispania fahali anauawa uwanjani. Mchezo unafanywa katika uwanja wa pekee unaoitwa Plaza de Toros. Wale wanoshindana na ng'ombe dume wanaitwa "torero"; mkuu wao atakayemwua kwa pigo la upanga wake ni "matador". Matador anatangulia kucheza na fahali kwa kumkasirisha kwa kitambaa chekundu na kutoroka akishambuliwa. Wasaidizi wake wanapita kwa farasi na kumdunga fahali kwa mikuki midogo kwa kusudi la kumdhoofisha. Mwishoni ng'ombe anauawa na matador kwa upanga. Muda wa mchezo ni kama dakika 20 kwa kila mnyama.
 
Ilhali Wahispania wanaua [[ng'ombe]] wa dume AarenoWareno wanawachezea tu hadi kuwaangusha chini bila kuwaua.
 
==Asili za Roma ya Kale==
Anonymous user