Guinea (kanda) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
Mstari 4:
 
== Majina ya kihistoria kwa Afrika ya Magharibi ==
Lugha za Ulaya zilikuwa na majina ya kihistoria kwa ajili ya sehemu mbalimbali za pwani la Guinea ya Juu: Pwani la Pilipili (ing. "Pepper Coast"), Pwani la Meno ya Ndovu (ing. ''Ivory Coast''), Pwani la Dhahabu (ing. [[Gold Coast]]) na Pwani la Watumwa (ing. ''Slave Coast''). Majina haya yametokana na biashara kuu katika sehemu zile. Jina la "Pwani la Meno ya Ndovu" linaendelea kutumika katika nchi ya [[Cote d'Ivoire]] (Ivory Coast). [[Ghana]] lilitwa "Gold Coast" (Pwani la Dhahabu) hadi uhuru.
 
== Asili ya jina "Guinea" ==