Tofauti kati ya marekesbisho "Fasihi"

39 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
ar.
(ar.)
'''Fasihi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] فصاحة ''fasAHa'' kwa maana ulumbi) ni [[utanzu]] ([[tawi]]) wa [[sanaa]] ambao hutumia [[lugha]] ya mazungumzo au maandishi ili kufikisha (kuwasilisha) ujumbe kwa hadhira husika.
 
Vipengele vinavyounda fani ya fasihi ni kama ifuatavyo: [[fani]] ni [[umbo]] la nje la [[kazi]] ya [[fasihi]]; [[maudhui]] ni umbo lake la ndani.