Chuo Kikuu cha Al-Azhar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q173959 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Al Azhar1.jpg|thumb|Al-Azhar.]]
[[Picha:Le Caire (Égypte) - La mosquée al-Azhar au début du XXe siècle.jpg|thumb|Msikiti yawa Al-Azhar mwanzoni mwa karne ya 20.]]
'''Chuo Kikuu cha Al-Azhar''' (kwa [[Kiarabu]]: جامعة الأزهر, jamiʿat al-azhar kwa heshima ya [[Fatima Zahra]], [[binti]] yawa [[Mtume Muhammad]]) katika [[Kairo]] ([[Misri]]) ni [[chuo]] kinachoheshimiwa kati ya [[Waislamu]] wa dhehebu la Sunni kama kitovu cha elimu ya kidini. Baada ya chuo cha [[Al-Qairawinmadhehebu]] mjiniya [[FezSunni]] (kama [[Morokokitovu]]) nicha [[chuoelimu kikuuya dini]] chayao. kale duniani kinachoendelea hadi leo hii.
 
Baada ya chuo cha [[Al-Qairawin]] mjini [[Fez]] ([[Moroko]]) ni [[chuo kikuu]] cha kale kuliko vyote [[duniani]] kinachoendelea hadi leo hii.
Al-Azhar imejulikana hasa kama chuo cha kiislamu lakini leo hii kuna idara nyingi kama vile madhab (sheria ya kiislamu), lugha ya [[Kiarabu]], tiba, ualimu, uhandisi na nyengine.
 
Al-Azhar imejulikana hasa kama chuo cha kiislamuKiislamu, lakini leo hii kuna [[idara]] nyingi kama vile madhab (sheria[[Sheria ya kiislamuKiislamu]]), [[lugha]] ya [[Kiarabu]], [[tiba]], [[ualimu]], [[uhandisi]] na nyengine[[fani]] nyingine.
== Historia ==
Al-Azhar kilianzishwa wakati wa [[khalifa|makhalifa]] [[Wafatima]] (wa [[Shia]]) kama chuo cha [[sharia]] kando laya [[msikiti]] yawa Al-Azhar iliyojengwa mwaka [[969]] [[BK]]. Mwaka [[975]] mafundisho ya sheria ya Kiislamu yalianzishwa. [[Madrasa]] ya kufundisha [[kalam]] ([[theolojiateolojia]] ya kiislamuKiislamu) ilianzishwa mwaka [[988]] BK.

Baada ya mwisho wa [[utawala]] wa Wafatima mwelekeo wa chuo kilikuwaulikuwa chawa Kisunni.

Baada ya anguko la [[Waabbasi]] kutokana na kutwaliwa na [[Baghdad]] kutwaliwa na [[Wamongolia]] mwaka [[1258]], Al-Azhar ilikuwa kitovu cha elimu ya Kisunni katika dunia ya Kiislamu ikabaki hivyo hadi leo.
 
Katika [[karne ya 20]] chuo kilipanushwakilipanuliwa chini ya malme[[mfalme]] [[Faruk wa Misri]] na, tena chini ya [[serikali]] ya [[kanali]] [[Gamal Abdel Nasser]] kwa kuongeza idara za kisasa.
== Viungo vya Njenje ==
{{commonscat|Al-Azhar University}}
* [http://www.azhar.edu.eg/ Tovuti rasmi ya Chuo Kikuu cha Al-Azhar]