Lugha ya kwanza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Lugha ya kwanza''' ni [[lugha]] ambayo [[mtu]] anaiongea kama lugha yake ya kwanza tangu [[Utoto|utotoni]]., Pia[[umri]] lughaambamo hiyoni huitwarahisi '''lughazaidi mama'''kuathiriwa (kwana [[Kiingerezamazingira]] "motherna tongue")hivyo kwapia vilekujifunza watukusema wengikama hujifunzawatu lughawa yaokandokando. ya kwanza kutoka kwa [[mama]] [[mzazi]].
 
Pia lugha hiyo huitwa '''lugha mama''' (kwa [[Kiingereza]] "mother tongue") kwa vile watu wengi hujifunza lugha yao ya kwanza kutoka kwa [[mama]] [[mzazi]]. Lakini hiyo si lazima: mara nyingine mtoto halelewi na mama, au kama analelewa, anatumia muda mrefu zaidi na watoto wenzake (hasa shuleni), hivyo anazoea lugha yao kuliko ile ya nyumbani, hata kama ni tofauti kabisa.
 
Kwa sababu hiyohiyo wapo watu wenye lugha mama zaidi ya moja.
 
{{mbegu-lugha}}