Uthai : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 13:
|government_type = [[Serikali ya kijeshi]] chini ya [[Ufalme wa kikatiba]]
|leader_titles = [[Mfalme]]<br />[[Waziri Mkuu]]<br />
|leader_names = [[
|area_rank = ya 51
|area_magnitude = 1 E11
Mstari 59:
Nchi iliitwa rasmi '''Siam''' (สยาม) hadi mwaka [[1939]], tena kati ya [[1945]] na [[1949]].
[[Neno]] ''Thai'' (ไทย)
Tangu tarehe [[19 Septemba]] [[2006]] nchi imetawaliwa na kamati ya [[jeshi]]. Jeshi [[Mapinduzi|ilipindua]] [[serikali]] ya [[waziri mkuu]] [[Thaksin Shinawatra]] bila kumwaga [[damu]]. Viongozi wa kijeshi walipatana na [[mfalme]]
==Watu==
Nchini Uthai kuna [[lugha]] za asili 73 (angalia [[orodha ya lugha za Uthai]]). Kati yake, [[Kithai]] ndiyo [[lugha rasmi]].
Wathai walio wengi (94.6%) hufuata [[dini]] ya [[Ubuddha]]
== Tazama pia ==
|