Mbinu ya rediokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Mbinu wa rediokaboni hadi Mbinu ya rediokaboni: usahihi wa tahajia
No edit summary
Mstari 1:
'''Mbinu waya rediokaboni''' (pia: '''mbinu waya <sup>14</sup>C''': ing.kwa Kiingereza ''radiocarbon dating'', ''carbon-14 dating'') ni njia ya [[sayansi|kisayansi]] kutambua [[umri]] wa [[mata ogania]].
 
Msingi wa mbinu hii ni kuwepo kwa [[kaboni]] katika kila kiumbe; na kupungua kwa [[idadi]] ya [[isotopi]] za kaboni aina za <sup>14</sup>C kwa sababu idadi za [[atomi nururifu]] inapungua kadrikadiri ya [[mbunguo nyuklia]]. Kutokana na [[asilimia]] za kaboni nururifu ya <sup>14</sup>C iliyobaki katika mata ogania inawezekana kukadiria umri wake.
 
=== Matumizi ya mbinu waya rediokaboni ===
Ni muhimu hasa kwa [[fani]] ya [[akiolojia]]. Mbinu huuhii unamruhusuinamruhusu [[mtaalamu]] kujua umri wa [[ubao]], [[mifupa]] na mabaki mengine yanayopatikana kutokanayanayotokana na vitu au viumbe vyawa kale. Mbinu huuhii unahitajiinahitaji kuwepo kwa mata ogania, yaani haiwezi kutambua umri wa vitu kama [[dhahabu]], [[chuma]], [[mwamba]]. Hauwezi kuleta matokeo kwa vituviumbe vyenyewenye umri mkubwa kushinda miaka 60,000.
 
Mbinu huuhii waya upimaji uligunduliwailigunduliwa mnamo [[1946]] na mtaalamu [[Mmarekani]] [[Willard Frank Libby]] al<nowiki/>iyepokeaaliyepokea [[tuzo ya Nobel ya Kemia]] yamwaka [[1960]]. Libby aliweza kuonyesha usahihi wa mbinu wakeyake kwa kutambua umri wa ubaombao waza [[jeneza]] na waza [[boti]] ya [[Misri ya Kale]]. Jeneza na boti zilihifadhiwa katika [[kaburi|makaburi]] ya [[Misri]] ambako vitu vingi vimekaa tangu miaka mielfu[[elfu]] kadhaa bila kuoza kutokana na [[hewa]] kame ya nchi hiihiyo. Hali nzuri ya yaliyomo yakatika makaburi ya Misri imetunza pia [[maandiko]] juu ya vitu hivi na hivyo ambayo mara nyingi pia kutajahutaja mwaka wa [[kifo]] cha mhusika wa kaburi, na hivyo kutaja umri wa kaburi. Upimaji wa Libby ulilingana na umri uliojulikana tayari, hivyo kuthebitishakuthibitisha uwezo wa mbinu wakeyake.<ref>http://hbar.phys.msu.ru/gorm/fomenko/libby.htm Age determinations by radiocarbon content: checks with samples of known age J. R. Arnold and W. F. Libby Institute for Nuclear Studies, University of Chicago, Chicago, Illinois SCIENCE December 23, 1949, Vol. 110</ref>
 
=== Misingi ya kisayansi ===
Mstari 26:
Mbinu huu wa rediokaboni unaweza kutambua umri hadi miaka 50-60,000 hivi. Kama sampuli ina miaka zaidi ya hii haiwezekani kwa sababu kiasi cha <sup>14</sup>C kimeshapungua mno kutokana na mchakato wa kuyeyuka („mbunguo nyuklia“). Kama kiwango cha mata ni kidogo mno hata nii ni tatizo. Kwa hiyo mbinu wa <sup>14</sup>C haileti matokeo kwa swali je umri wa [[chokaa mawe]] ni upi? kwa sababu umri huo ni miaka mamilioni.
 
== Viungo vya Njenje ==
*[http://www.radiocarbon.org/ Radiocarbon - The main international journal of record for research articles and date lists relevant to 14C]
*[http://www.c14dating.com/ C14dating.com - General information on Radiocarbon dating]
Mstari 39:
==Marejeo==
{{reflist}}
 
 
[[Category:Akiolojia]]
[[Category:KaboniBiolojia]]
[[Jamii:Kemia]]