Gambia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 68:
Tangu [[uhuru]] wa nchi zote mbili palikuwa na mpango wa kuziunganisha kwa njia ya [[shirikisho]] lililoanzishwa mwaka [[1982]] lakini Gambia ilitoka katika mapatano hayo mwaka [[1989]].
 
Hadi 1994 Gambia ilifuata mfumo wa demokrasia ya vyama vingi lakini mwaka ule uasi wa wanajeshi ulipindua serikali na kuwa chanzo cha utawala wa [[Yahya Jammeh]] aliyekuwa kiongozi kwanza kama mwenyekiti wa kamati ya kijeshi, baadaye kama [[rais]] aliyechaguliwa 1996 na kuchaguliwa tena 2001, 2006 na 2011. Isipokuwa mwaka 2001 wapinzani na watazamaji wa nje walilalamika ya kwamba kura hizi hazikuwa huru.
Mwaka [[2013]] Gambia ilitoka pia katika [[Jumuiya ya Madola]] kama chombo cha [[ukoloni mamboleo]].
 
Mwaka [[20152013]] [[Rais]]Jammeh alitoa Gambia katika [[YahyaJumuiya Jammehya Madola]] alitangazakama Gambiachombo kuwa nchi yacha [[Uislamu|Kiislamuukoloni mamboleo]].
 
Mwaka [[2015]] Jammeh alitangaza Gambia kuwa nchi ya [[Uislamu|Kiislamu]].
 
Katika uchaguzi wa kiraisi wa 2016 vyama vya upinzani viliungana na mgombea wao [[Adama Barrows]] alishinda ilhali Jammeh alikubali kushindwa.
 
== Wakazi ==