Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 35:
Hakuna mgawanyo dhahiri kati ya lugha na [[lahaja]], lakini [[mwanaisimu]] [[Weinreich Max]] anatambuliwa kwa kusema kuwa "lugha ni lahaja iliyo na [[jeshi]] la nchi kavu na la [[maji]]ni ". [[Lugha za kuundwa]] kama vile [[Kiesperanto]], lugha za [[tarakilishi]], na ma[[umbo]] mbalimbali ya [[hisabati]] haziko chini ya sifa bainifu zinazohusisha lugha za binadamu.
 
=== Mawasiliano kwa Ishara/kutazama ===
[[Mawasiliano kwa ishara]] ni mchakato wa kuwasiliana kwa njia ya kutuma na kupokea [[ujumbe]] usiohusisha maneno. Ujumbe kama huo unaweza kuwasilishwa kupitia ishara za uso au mikono, miondoko ya kimwili au jinsi ya kukaa; ishara ya uso na kutazamana machoni, mawasiliano kwa vitu kama vile ma[[vazi]] uliyovalia, jinsi ulivyotengeza [[nywele]], au hata kwa michoro, pia kupitia jumla ya njia zilizoandikwa hapo juu, kama vile mawasiliano kupitia kwa [[tabia]]. Mawasiliano kwa ishara huwa na [[jukumu]] muhimu katika [[maisha]] ya kila [[siku]] ya kila mtu, iwe ni katika uhusiano wa ki[[ajira]] hadi wa ki[[mapenzi]].