Uturuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 92:
Kwenye maeneo jirani na Syria wako pia [[Waarabu]].
 
[[Lugha rasmi]] na ya kawaida ni [[Kituruki]], kinachotimika na 85% za wakazi. Hata hivyo, lugha 36 huzungumzwa nchini Uturuki, yaani 14 za asili na 22 za nje (angalia [[orodha ya lugha za Uturuki]]).
 
Upande wa [[dini]], karibu wote ni [[Waislamu]], hasa kuanzia [[karne ya 20]] ambapo [[Wakristo]] wengi [[Maangamizi ya Waarmenia|waliuawa]] (hasa [[Waarmenia]]) au kuhama (hasa [[Wagiriki]]). WAliobaki ni 0.2% tu. Hata hivyo Uturuki ni [[nchi isiyo na dini]] [[dini rasmi|rasmi]].