Kirgizia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Wakazi: +kiungo cha orodha ya lugha
Mstari 89:
Idadi ya wakazi ilihesabiwa 2005 kuwa watu 5,264,000. Takriban 72.6 % kati yao ni Wakirgizi wenyewe, ambao ni jamii ya [[Waturuki]] halafu kuna [[Wauzbeki]] (14.4 %) hasa [[kusini]] na [[Warusi]] (6.4 %) hasa [[kaskazini]], mbali na makundi madogo zaidi.
 
Lugha ya kawaida ni Kikirgizi, ambacho ni [[lugha rasmi]] pamoja na Kirusi. Angalia pia [[orodha ya lugha za Kirgizia]].
 
Takriban 64% ni [[Waislamu]], lakini kuna [[uhuru wa dini]]. [[Wakristo]] wako hasa katika ya wakazi wenye asili ya [[Ulaya]], wakiwemo kwanza [[Waorthodoksi]], halafu [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]] wachache.