Tajikistan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Watu: +kiungo cha orodha ya lugha
Mstari 77:
 
==Watu==
Wakazi wengi ni [[Watajiki]] na kuongea [[Kitajiki]] (84.3%), [[lugha]] ambayo inahusiana na [[Kiajemi]]. Ndiyo [[lugha rasmi]] na ya kawaida. [[Kabila]] linalofuata kwa ukubwa ni [[Wauzbeki]] (13.8%). Angalia pia [[orodha ya lugha za Tajikistan]].
 
Wananchi wengi ni [[Waislamu]] (98%), hasa [[Wasuni]], na ndiyo [[dini rasmi]] tangu mwaka [[2009]]. Washia ni 3%.
 
==Viungo vya nje==