Content deleted Content added
Mstari 267:
 
==Watu, lugha, dini==
Warusi asilia ni 81%, lakini kuna makabila mengine 160 katika shirikisho, ambayo yanatumia [[lugha]] 100 hivi<ref name=britannica>{{cite web |url=http://www.britannica.com/EBchecked/topic/513251/Russia |title=Russia |publisher=Encyclopædia Britannica |accessdate=31 January 2008}}</ref> (angalia [[orodha ya lugha za Urusi]]).
 
Kufuatana na [[sensa]] ya mwaka 2002 kulikuwa na watu milioni 142.6 wasemaji wa Kirusi, wakifuatwa na wasemaji wa [[Kitatari]] milioni 5.3 na [[Kiukraina]] milioni 1.8.<ref>{{cite web|url=http://www.perepis2002.ru/index.html?id=87|title=Russian Census of 2002|work=4.3. Population by nationalities and knowledge of Russian; 4.4. Spreading of knowledge of languages (except Russian)|publisher=[[Rosstat]]|accessdate=16 January 2008}}</ref>