Mmea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Mimea''' ni moja ya kundi la [[viumbe hai]] duniani ikijumuisha [[miti]], [[maua]], [[mitishamba]],n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
 
Sayansi inayochunguza mimea huitwa [[botania]] ambayo ni kitengo cha [[biolojia]]. Kwenye [[uainishaji wa kisayansi]] Mimeamimea hujumlishwa katika himaya ya planta kwenye milki ya [[Eukaryota]] (viumbehai vyenye [[kiini cha seli]] na [[utando wa seli]].).
 
Kwa hiyo mimea huwa na utando wa seli mwenye [[selulosi]]. Mmea unapata sehemu kubwa ya nishati kutoka kwa nuru ya jua kwa njia ya [[usanisinuru]] yaani hujilisha kwa msaada wa nuru. Ndani ya majani ya mimea kuna [[klorofili]], dutu kijani, inayofanya kazi ya kupokea nuru na kupitisha nishati yake kwa sehemu nyingine ya mmea ambako inatumiwa kujenga molekuli zinazotunza nishati kwa njia ya kikemia na kutumiwa katika [[metaboli]] ya mwili.
Kwa jumla mimea huwa na uwezo wa [[usanisinuru]] yaani hujilisha kwa msaada wa nuru.
 
Mimea kadhaa imepoteza uwezo wa kutengeneza klorofili ya kutosha hivyo inajipatia nishati yao kama [[vimelea]] kutoka kwa mimea au viumbehai vingine.
 
Mimea mingi inazaa ka njia ya kijinsia yaani kwa kuunganisha seli za kiume na kike; mara nyingi viungo vya kiume na kike vinapatikana ndani ya mmea mmoja. Kuna pia mimea inayozaa kwa njia isiyo ya kijinsia kwa mfano kwa kuotesha mzizi wa hewani unaingia ardhini na kuendelea kama mmea wa pekee.
 
Mimea ni msingi muhimu kwa viumbehai wengine duniani kwa sababu sehemu kubwa ya oksijeni katika angahewa ya dunia inatengenezwa na mimea.<ref name=behrenfeld>{{cite journal | last=Field | first=C.B. |author2=Behrenfeld, M.J. |author3=Randerson, J.T. |author4=Falkowski, P. | year=1998 | title=Primary production of the biosphere: Integrating terrestrial and oceanic components | journal=[[Science (journal)|Science]] | volume=281 | pages=237–240 | doi=10.1126/science.281.5374.237 | pmid=9657713 | issue=5374 |bibcode = 1998Sci...281..237F }}</ref>. Mimea inatoa chakula cha kibinadamu kama vile [[nafaka]], [[matunda]] na [[mboga majani]], pia lishe kwa wanyama wa kufugwa.
 
== Album ==