Mamalia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 24:
Kuna takriban [[spishi]] 5,400 za mamalia. Spishi 5 kati ya hizo wanataga ma[[yai]], lakini wengine wote wanazaa watoto hai.
== Uainishaji ==
Mamalia ni [[ngeli]] ya [[faila]] [[Kodata]].
Ngeli yao hugawiwa katika [[nusungeli]] [[mbili]]:
* [[Prototheria]] ni mamalia wanaotaga mayai au kubeba watoto wao ndani ya mfuko wa mwilini kwa muda fulani baada ya kuzaa
* [[Theria]] ni mamalia wa kawaida na spishi nyingi zimo humo.
Mstari 42:
{{mbegu-biolojia}}
[[Jamii:Mamalia|*]]
|