Maziwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
{{For|plural ya ziwa|Ziwa}}
[[Picha:Milk glass.jpg|thumb||Bilauri ya maziwa]]
[[Picha:Goat kid feeding on mothers milk.jpg|thumb||Mwana mbuzi anakunywaananyonya maziwa]]
 
'''Maziwa''' ni [[kiowevu]] cheupe kinachotolewa na majike wa [[mamalia]] kama [[lishe]] kwa ajili ya [[watoto]] wao. [[Wanyama]] wadogo hulishwa kwa maziwa katika miezi ya kwanza ya [[maisha]] yao hadi kuzoea [[chakula]] cha kawaida.
 
Nje ya lishe ya wanyama changa, maziwa hutumiwa na wanadamu[[binadamu]] kama [[kinywaji]] na [[chakula]]. Watu hufuga wanyama wanaotoa maziwa, hasa [[ng'ombe]], kwa kusudi la kukamua maziwa yao. Wanyama wengine wanaofugwa na kukamuliwa kwa maziwa yao ni [[mbuzi]], [[kondoo]] na [[ngamia]], [[farasi]], [[punda]] na [[nyati]].
 
Maziwa hunyewa au kuungwa katika upishi wa chakula. Tatizo la matumizi ya maziwa ni ya kwamba yanabadilika haraka. Inakamuliwa pamoja na [[vidubini]] ndani yake na pia vidubini vilivyomo [[Hewa|hewani]] hupenda kuingia ndani yake kwa sababu maziwa yana lishe nyingenyingi. Vidubini hivi vinasababisha kuchachuka kwa maziwa; mara nyingi [[ladha]] inaweza kubadilika kwa njianamna isiyotakiwa.
Wanyama wengine wanaotoa maziwa kwa matumizi ya kibinadamu ni pamoja na [[kondoo]], [[mbuzi]], [[ngamia]], [[farasi]], [[punda]] na [[nyati]].
 
Kwa hiyo maziwa yanayotolewa kwenye [[viwanda vya maziwa]] hupata [[upasteurishaji]] na hutunzwa kwenye [[baridi]] chini ya kiwango cha [[sentigredi]] 7. Katika [[mazingira]] asilia maziwa yaliyochachuka hunyewa au, kama yameganda, huliwa.
Maziwa hunyewa au kuungwa katika upishi wa chakula. Tatizo la matumizi ya maziwa ni ya kwamba yanabadilika haraka. Inakamuliwa pamoja na [[vidubini]] ndani yake na pia vidubini vilivyomo hewani hupenda kuingia ndani yake kwa sababu maziwa yana lishe nyinge. Vidubini hivi vinasababisha kuchachuka kwa maziwa; mara nyingi ladha inaweza kubadilika kwa njia isiyotakiwa.
 
Katika nchi nyingi maziwa hugandishwa na kukaushwa kuwa [[jibini]]. Maziwa katika [[umbo]] la jibini hutunzwa muda mrefu na ni chakula bora. Njia nyingine ya kutunza maziwa ni kuondoa [[maji]] ndani yake kabisa na kutunza [[unga la maziwa]].
Kwa hiyo maziwa yanayotolewa kwenye viwanda vya maziwa hupata [[upasteurishaji]] na hutunzwa kwenye baridi chini ya kiwango cha sentigredi 7. Katika mazingira asilia maziwa yaliyochachuka hunyewa au kama yameganda huliwa.
 
[[Mafuta]] ya maziwa hutolewa mara nyingi kuwa [[krimu]] au [[siagi]].
Katika nchi nyingi maziwa hugandishwa na kukaushwa kuwa [[jibini]]. Maziwa katika umbo la jibini hutunzwa muda mrefu ni chakula bora. Njia nyingine ya kutunza maziwa ni kuondoa maji ndani yake kabisa na kutunza [[unga la maziwa]].
 
Mafuta ya maziwa hutolewa mara nyingi kuwa [[krimu]] au [[siagi]].
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Chakula]]