Savana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 71 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q42320 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tarangire-Natpark800600.jpg|thumb|300px|Savana katika [[Mbuga waya Wanyama waya Tarangire]], [[Tanzania]]]]
[[Picha:Oldoinyolengai.jpg|thumb|300px|'''Savana''' mbele ya [[mlima wa]] [[Oldoinyo Lengai]], upande wa [[Kenya]]]]
'''Savana''' ni aina ya sura ya nchi penyeyenye [[manyasi]] na kiasi cha miti. Kiasikidogo cha [[miti]] kinategemeanaambacho nakinategemea kiasi cha [[maji]] au [[mvua]] kinachopatikana.
 
[[Tabia]] kuu ya savana ni uhaba wa maji. Tofauti na [[jangwa]] maji yapo ingawa ni kidogo. Kiwango cha kawaida cha mvua ni kati ya [[milimita]] 500 na 1500 kwa [[mwaka]].
'''Savana''' ni aina ya sura ya nchi penye manyasi na kiasi cha miti. Kiasi cha miti kinategemeana na kiasi cha maji au mvua kinachopatikana.
 
Savana ina [[wanyama]] wa pekee wanaodumu katikawanaomudu mazingira hayahayo. Wengi ni [[wala majani]] halafu kuna [[wala nyama]] wanawaowindawanaowinda wala majani.
Tabia kuu ya savana ni uhaba wa maji. Tofauti na [[jangwa]] maji yapo ingawa ni kidogo. Kiwango cha kawaida cha mvua ni kati ya milimita 500 na 1500 kwa mwaka.
 
Savana ina wanyama wa pekee wanaodumu katika mazingira haya. Wengi ni wala majani halafu kuna wala nyama wanawaowinda wala majani.
 
{{mbegu-jio}}