Fotoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Fotoni ni sehemu ndogo ya chini kabisa ya usafirishaji wa nishati ya mwanga kwa njia ya vifurushi au kwanta, Nadharia ya kwanta inaeleza kwamba aina zote za nis...'
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Fotoni''' ni sehemu ndogo ya chini kabisa ya usafirishaji wa [[nishati]] ya [[mwanga]] kwa njia ya vifurushi au [[kwanta,]].
 
[[Nadharia ya kwanta]] inaeleza kwamba aina zote za nishati husafirishwa kutoka eneo moja hadi jingine kwa viwango vidogo vidogo,vidogovidogo (vifurushi/kwanta).
Kwa upande wa mwanga kiwango hicho kidogo kabisa huitwa fotoni
 
Kwa upande wa mwanga kiwango hicho kidogo kabisa huitwa fotoni.
 
{{mbegu-fizikia}}
 
[[Jamii:Fizikia]]