Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Solar sys.jpg|right|350px|thumb|Jua letu na sayari zake.]][[File:Sayari za Jua - mlingano ukubwa.png|350px|thumb|Sayari nne kubwa ziliundwa hasa na gesi, nyingine ni sayari ndogo kama dunia yetu za mwamba.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016).</ref>]]
'''Mfumo wa jua''' ni utaratibu wa [[jua]] letu na, [[sayari]] auna [[sayari kibete]] zinazolizunguka pamoja na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] yao, [[asteroidi]], [[meteoridi]], [[kometi]] na [[vumbi ya angani]], vyote vikishikwa na [[mvutano]] wa jua.
 
[[Utaalamu]] kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa katika [[fani]] ya [[astronomia]].
 
Kwa kawaida siku hizi, baada ya kutambua [[Pluto]] kama sayari kibete, huhesabiwa sayari 9[[nane]] zinazozunguka jua. Lakini miaka ya nyuma magimba makubwa yamegunduliwa angani ambayo bado hayajakubaliwa kama yahesabiwe kuwa sayari au aina ya asteoridi.
 
[[Orodha]] inayofuata bado inahitaji kuangaliwa kwa sababu kuna tofauti kati ya [[kamusi]] na [[vitabu]] mbalimbali jinsi ya kutaja sayari fulani.
Mstari 117:
 
Kuhusu magimba ya angani yaliyombali zaidi kuliko ukanda wa Kuiper hakuna uhakika bado, Lakini tangu mwaka 2012 vipimo vyipya vilisababisha kutokea kwa nadharia tele kuhusu [[Sayari Tisa|sayari ya tisa]] katika umbali mkubwa sana ambyo haikutazamiwa bado.
 
==Mfumo wa jiosentriki==
Ulikuwa mfumo wa sayari, jua, nyota na magimba mengine angani ambao zamani ulipendekeza kwamba vyote vinazunguka dunia, ambayo ndiyo ilichukuliwa kuwa [[kitovu]] cha [[ulimwengu]].
 
==Marejeo==