Uchumi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 4:
[[Sayansi ya Uchumi]] (kwa [[Kiingereza]] ''economics'') ni [[tawi]] la elimu inayochunguza masharti ya uchumi kufaulu au kushindwa.
== Sekta za uchumi ==
Uchumi wa [[jadi]] katika nchi nyingi ulikuwa hasa [[kilimo]] cha kujikimu pamoja na [[biashara]] ya kubadilishana bidhaa kadhaa zenye [[thamani]] kubwa. Kwa mfano, tangu kale [[mgodi|migodi]] ya [[Zimbabwe]] ilichimba [[dhahabu]] iliyopelekwa baadaye hadi [[Asia]] na kando ya [[Mediteranea]].
Katika uchumi wa kisasa mara nyingi sekta [[tatu]] hutofautishwa:
* Sekta ya msingi: kutoa na kuzaa [[malighafi]] pamoja na [[zao|mazao]] katika [[mazingira]] asilia. Mifano ni [[kilimo]], [[uchimbaji wa madini]], [[uvuvi]] au [[kuvuna ubao]].
|