Chansela (kiongozi) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 27 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q373085 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Chansella''' (kwa [[Kijerumani]]: "Kanzler") ni [[cheo]] cha mkuu wa [[serikali]], lakini si mkuu wa dola, katika [[Ujerumani]] na [[Austria]].
Katika nchi za [[Ujerumani]] na [[Austria]] ni cheo cha mkuu wa serikali. [[Uswisi]] linamaanisha Katibu Mkuu wa ofisi ya serikali.
Huko [[Uingereza]] chansella ni cheo cha [[waziri
Cheo cha chansella kinapatikana kimataifa pia kwenye '''vyuo vikuu''' vya nchi mbalimbali likimtaja ama [[mkuu wa chuo]] au mkuu wa utawala wa chuo. Katika nchi kadhaa za [[Afrika]] [[rais]] wa [[taifa]] amejipatia au kupatiwa cheo cha chansella wa chuo kikuu. Katika nchi hizi -jinsi ilivyokuwa nchini [[Kenya]] hadi mwaka 2003- mkuu halisi wa chuo alikuwa na cheo cha makamu wa chansella.
== Tazama pia ==
* [[Machansela wa Austria]]
* [[Machansela wa Ujerumani]]
[[Category:Cheo]]
|