Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Mpira wa miguu''' (pia '''soka''' au '''kandanda''') ni [[mchezo]] unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika [[timu]] mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja.
 
Lengo hasa la mchezo huu ni wachezaji kuumiliki [[mpira]] kwa kutumia [[miguu]] na kufunga goli, yaani kuuingiza mpira katika [[wavu]] wa wapinzani mara nyingi zaidi.
 
Matumizi ya [[mikono]] ni marufuku isipokuwa kwa [[mlinda mlango]] katika eneo maalumu na wakati wa kurudisha mpira baada ya kutoka nje ya uwanja.
Mstari 109:
==Mpira wa miguu barani Afrika==
Kwa [[Tanzania]] na nchi nyingi za [[Afrika]] kuna uhaba wa [[wafadhili]]ː hiyo husababisha [[timu]] ambazo hazina uwezo wa kiuchumi kukata tamaa.
 
==Mpira wa miguu nje ya kanuni za kawaida==
[[File:O Jogo Bonito (The Beautiful Game).webm|thumb|Video inaonyesha namna nyingi jinsi gani mpira unachezewa duniani.]]
 
Hali halisi kuna namna nyingi kucheza soka hata pasipo na wachezaji 22 au uwanja kamili. Kila mahali dunaini watu hasa vijana hucheza barabarani au shambani kwa kila idadi ya wachezaji, ilhali fimbo au mawe mawili hudokeza goli. Pasipo na mpira kamili vijana hujitengenezea kifaa kwa karatasi au plastiki iliyoshikwa kwa kamba katika umbo la kufanana na tufe.
 
 
Kwa mazingira ya pekee kuna pia mapatano juu ya kanuni maalumu kwa timu ndogo (kwa mfano wachezaji 5/5) au mahali kama mchanga wa mwabaoni (''beach soccer''), katika ukumbi (indoor soccer) au kwa wachezaji walemavu.
 
 
== Tanbihi ==